TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Cheti cha Masomo ya Msingi ya Kenya

The Typologically Different Question Answering Dataset

KCPE  ni ufupisho wa Kenya Certificate of Primary Education,  tuzo la cheti kwa wanafunzi baada ya kuhitimu kwa kusoma miaka nane katika elimu ya msingi nchini Kenya. Mitihani yake husimamiwa na Kenya National Examination Council (KNEC), kitengo cha serikali cha kusimamia mitihani nchini Kenya, chini ya Wizara ya Elimu. Kitengo hicho pia husimamia na kufanyia mabadabiriko kwa Cheti cha Masomo ya Upili ya Kenya (KCSE), tuzo la cheti kwa wanafunzi baada ya kumaliza elimu ya sekondari. Vyeti vya KCSE na KCPE vilianzishwa nchini Kenya hapo mwaka wa 1985 wakatmfumo wa elimu wa 8.4.4 ulianzishwa. Maki za juu zaidi ni 500 lakini hiyo aghrabu haiwezekani kutokana na usawasaji (kutolewa kwa baadhi za alama katika kila somo). Mtihani huu hutumiwa kuamua shule ya sekondari ambayo kila mwanafunzi atajiunga nayo.

Je,KCPE ilianza lini nchini Kenya?

  • Ground Truth Answers: 198519851985

  • Prediction: